Skip to main content

GoTranscript Test 2 Sample Answer

 


Mhoji: Naam, leo ni Siku ya Ndimi Asilia Duniani, siku ambayo imetengwa na Umoja wa Mataifa ili kuhamasisha lugha mbalimbali duniani kote. Watu wengi barani Afrika wanaungumza zaidi ya lugha moja, lakini bado wanasalia kupenda lugha zao za asili. Umoja wa Mataifa unasema lugha nyingi duniani zinapotea kutokana na utandawazi, takribani nusu ya lugha zote 6,000 duniani ziko hatarini kupotea, lakini hata hivyo barani Afrika lugha moja Kiswahili, imejipenyeza na kupata umarufu sio tu ndani ya bara mbali hata nje.

Mzungumzaji 1: Polisi [isiyoeleweka 00:00:28] huyu atafanya nini nitakapokuwa mbali.

Mhoji: Wanafunzi wakisoma Kiswahili hapa London.

Mzungumzaji 2: [Isiyosikika 00:00:36] What is dhamira?

Mhoji: Hili ni somo maarufu sana katika chuo hiki ambapo wanafunzi kadhaa humaliza kila mwaka wakizungumza lugha hii kwa ufasaha.

Mwanafunzi 1: Natoka Marekani nilijifunza Kiswahili nilipoenda Tanzania miaka mitatu iliyopita, nilikaa Mwanza kwa miaka miwili na nusu nikijifunza Kiswahili kule. Nikaanza kusoma hapa SOAS  nanilitaka kuendelea na Kiswahili changu ili kukiboresha kukitumia baadae kikazi.

Moe: Mimi jina langu ni Moe, ninatoka Japani sababu ya kusoma Kiswahili yangu ni, kwanza, nilivutiwa na utamaduni ya kiafrika sana, kama muziki na ngoma.

Jessica: Ninaitwa Jessica na ninatoka Ureno lakini wazazi wangu wanatoka visiwa vya Cape Verde, na nisoma Kiswahili hapa SOAS kwa sababu nafikiri kwamba Kiswahili ni lugha muhimu sana katika Afrika, na nina mpango labda kufanya kazi katika Afrika ya Mashariki.

Greti: Ninaitwa Greti ninatoka Hungaria katika Ulaya Mashariki.  Na nilichagua kusoma Swahili kwa sababu ni lugha kubwa zaidi katika Afrika.

Mhoji: Licha ya kuwa kuna lugha nyingi katika mataifa 54 ya Afrika, Kiswahili kinavutia kwa sababu ya historia yake pana na nafasi yake, kama lugha inayozungumzwa na wengi barani Afrika.

Mzungumzaji 3: Kwa imani pake.

Mhoji: Na kimataifa ilipata umamarufu mkubwa kutokana wimbo na msemo wa hakuna matata. Msemo huu ambao umeekwa hati miliki na kampuni ya Disney ya Marekani, umezua mtafaruku mkubwa kwa wazungumzaji wa Kiswahili.

Mzungumzaji 4: Hili swala la kwamba hakuna matata huchukuliwa kama alama ya biashara, mimi nafikiri si sahihi, kwa sababu, ingawa si Kiswahili fasaha lakini ni maneno ya Kiswahili kwa hivyo unapoyachukua ni kama unachukua lugha ya mtu utamaduni wa mtu unachukua utu wa  mtu, sasa kama leo umechukua maneno yake kesho utachukua nini?

Mhoji: Kiswahili kinazungumzwa na zaidi ya watu milioni 100 Afrika Mashariki na Kati na pia ni moja ya lugha rasmi za Umoja wa Afrika na kuna majadiliano ya kutaka kuifanya lugha hii kuzungumzwa na Waafrika wote. Afrika Kusini hivi karibuni imeingiza Kiswahili kwenye mitaala yake.

Mzungumzaji 5: [lugha ya kiingereza] I go to conferences with fellow sisters from Africa - -

Mkalimani: Huwa na kwenda kwenye mikutano, na hukutana na watu kutoka Afrika wakizungumza Kifaransa, Kiingereza na hakuna kinachotuunganisha kama waafrika, kwa hio watoto wetu wanahitaji kitu ambacho nicha Kiafrika na chenye kutuunganisha, na ni lugha ya Kiswahili.

Mzungumzaji 6: -- which is Kiswahili?

Mhoji: Wakati kuna wasiwasi kuwa mambo kama utandawazi yanaadhili lugha nyingi duniani, Kiswahili kinaonekana kuchana mbuga katika kuunganisha Bara la Afrika na pengine kuwa lugha ya Afrika.

[Mwisho wa Sauti]

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Personal Branding, CV Revamping and Online Portfolio for Job Seekers

  1. Personal Branding for Job Seekers Personal branding is how you present yourself professionally to potential employers or clients. It helps you stand out in a competitive job market. Steps to Build a Strong Personal Brand: ✔ Define Your Unique Selling Proposition (USP) – Identify your strengths, skills, and what makes you different from others. ✔ Optimize Your Social Media Profiles – Keep LinkedIn, Twitter, and other professional profiles updated with a clear summary, profile picture, and work experience. ✔ Create a Professional Email Address – Avoid informal emails like cooldude123@gmail.com; use a format like yourname@email.com. ✔ Network Actively – Engage with industry leaders, join professional groups, and share insights on LinkedIn. ✔ Be Consistent Across All Platforms – Your resume, LinkedIn, and portfolio should have matching information   Why Personal Branding Matters? 🔹 Attracts recruiters and clients. 🔹 Builds credibility and trus...

Top Online Job Opportunities You Can Start Today

The digital age has opened up countless opportunities for individuals to work from home and earn money online. Whether you're looking for a full-time career or a side hustle, there are plenty of options to explore. Here are four popular online job opportunities that you can start today: 1. Freelance Writing If you have strong writing skills, freelance writing can be a lucrative career. Businesses and individuals need content for blogs, websites, and marketing materials. As a freelance writer, you can create articles, blog posts, and other forms of content. Where to Find Jobs: Upwork Fiverr Freelancer Tip: Build a portfolio showcasing your writing samples to attract potential clients. 2. Virtual Assistant A virtual assistant (VA) provides administrative support to businesses remotely. Tasks may include managing emails, scheduling appointments, data entry, and customer service. This is a great option for those who are organized and detail-oriented. Where to ...

Online Tutoring as a Skill of 2025

  Online tutoring in 2025 is a vital skill, combining digital tools, personalized teaching, and global connectivity to revolutionize education.          Some of the Sites that offer such services include; 1. Nicetutor Nicetutor offers personalized online tutoring in various subjects. Tutors can set their schedules and rates. Requirements include a teaching qualification, subject expertise, and good communication skills. Learn more at Nicetutor: https://www.nicetutor.net/ 2. Hellokid Hellokid focuses on teaching English to children in China. Native-level English proficiency, a TEFL certificate, and experience teaching kids are typically required. Flexible hours available. Learn more at Hellokid: https://tutor.hellokidvip.com/ 3. TutorMe TutorMe connects students with tutors for academic and test prep help. Applicants need subject expertise, teaching experience, and internet access. Set your schedule. Learn more at TutorMe: thetutor.me/auth/signup/tutor 4....